{"id":852879,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/852879/?format=json","text_counter":34,"type":"speech","speaker_name":"Suba South, ODM","speaker_title":"Hon. John Mbadi","speaker":{"id":110,"legal_name":"John Mbadi Ng'ong'o","slug":"john-mbadi"},"content":" Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Nimeshangaa sana kwamba siku ya leo ndiyo ya kwanza, tangu nije Bunge hili 2007, kupewa nafasi bila kuuliza. Hiyo inatokana na lile suala la nidhamu na Handshake ama kusalimiana."}