{"id":873867,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873867/?format=json","text_counter":150,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Deputy Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Sikukueleza. Lakini ni kweli kwamba Mheshimiwa Njomo alikitumia chombo chako. Nimekusikia Mbunge wa Nakuru Mjini Mashariki. Tutaanza na Mheshimiwa Tecla Tum. Utaongea kuhusu Hoja hii katika lugha ya Kiswahili."}