{"id":873920,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873920/?format=json","text_counter":203,"type":"speech","speaker_name":"Nakuru Town East, JP","speaker_title":"Hon. David Gikaria","speaker":{"id":2489,"legal_name":"David Gikaria","slug":"david-gikaria"},"content":"Mhe. Ali alipokuwa akitoa mchango wake, alisema mambo haya ya matibabu yarejeshwe katika Serikali kuu. Ningependa kutaja kwamba hospitali zote za rufaa ziko katika Serikali kuu."}