{"id":873973,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873973/?format=json","text_counter":256,"type":"speech","speaker_name":"Nominated, JP","speaker_title":"Hon. David ole Sankok","speaker":{"id":13166,"legal_name":"David Ole Sankok","slug":"david-ole-sankok"},"content":" Niko na hoja ya nidhamu. Katika Bunge hili, ukiongea kwa lugha moja, unatumia lugha hiyo pekee lakini mimi nasikia “I am sure.” Ninachanganyika kidogo."}