{"id":873998,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/873998/?format=json","text_counter":281,"type":"speech","speaker_name":"Tetu, JP","speaker_title":"Hon. James Gichuhi","speaker":{"id":13490,"legal_name":"James Gichuhi Mwangi","slug":"james-gichuhi-mwangi"},"content":"Kwa hivyo, mimi ni mmoja wa wale wanaunga mkono Hoja ya kufutilia mbali ada za matibabu katika hospitali zote za umma. Tukifanya hivyo, tutaona ya kwamba Kenya yetu itaendelea vizuri."}