{"id":875830,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/875830/?format=json","text_counter":153,"type":"speech","speaker_name":"Nyali, Independent","speaker_title":"Hon. Mohamed Ali","speaker":{"id":13455,"legal_name":"Mohammed Ali Mohamed","slug":"mohamed-ali-mohamed"},"content":"Katika mradi wa Linda Mama, Serikali inawajibika na kulipia akina mama ada ya Kshs17,000. Swali tunalofaa tujiulize ni kwamba katika huu mradi wa Linda Mama, je ikizidi Kshs17,000…"}