{"id":881619,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/881619/?format=json","text_counter":495,"type":"speech","speaker_name":"Kitutu Chache South, FORD-K","speaker_title":"Hon. Richard Onyonka","speaker":{"id":128,"legal_name":"Richard Momoima Onyonka","slug":"richard-onyonka"},"content":"ama ni wakenya ambao wana mambo yanayowakera? Na lazima Rais Uhuru Muigai Kenyatta aulize ni nini kinachowafanya hao watu wawe na maswala waliyo nayo wakati huu."}