{"id":882087,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/882087/?format=json","text_counter":47,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Ahsante, Bw. Spika. Sen. (Dr.) Ali ni ndugu yangu na rafiki yangu. Tusiweze kuwa na sintofahamu kwa sababu hivyo ndivyo anavyo ongea akiwa kule anakotoka. Sio hasira ama kutukana mtu. Hiyo amesema ni sawasawa kabisa."}