{"id":882123,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/882123/?format=json","text_counter":83,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Hili ni Bunge ambalo tunaweka stakabadhi ya yote yanayosemwa hapa. Itakuwa hatari kubwa kwa mmoja wetu hapa kusema kwamba kuna mmoja wa magavana---."}