{"id":882125,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/882125/?format=json","text_counter":85,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Bw. Spika, yuko chama fulani ambacho amekitaja hapa; cha Jubilee, ambaye ameshindwa kutekeleza vile anavyotakikana kupeleka madawa katika hospitali. Hiyo hoja ni muhimu sana na itakuwa matusi kwa Wakenya ikiwa hatuwezi kuambiwa ni gavana yupi."}