{"id":882296,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/882296/?format=json","text_counter":256,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"Nikiwa kama Mwenyekiti wa Ugatuzi, nimeskia Sen. Nyamunga akisema kwamba, ufisadi bado uko katika Serikali kuu, lakini ninataka kumwambia kwamba, akitembea pale katika kaunti, kuna ufisadi si haba. Asante."}