{"id":883351,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/883351/?format=json","text_counter":180,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Cherargei","speaker_title":"","speaker":{"id":13217,"legal_name":"Cherarkey K Samson","slug":"cherarkey-k-samson"},"content":"zipate uwezo wa kupata pesa zao katika akaunti zao kutoka Serikali kuu ili waweze kuendesha shughuli zao bila vitisho kutoka kwa magavana."}