{"id":885115,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/885115/?format=json","text_counter":121,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Ahsante sana, Bw Naibu Spika. Naona huyo ambaye yuko na wewe anakunung’unizia. Kama hajui Kiswahili ama anakielewa lakini hawezi kutafakari vile inavyotakikana, asije hapo akakuambia ya kwamba, “Wakati wake huyu umekwisha.”"}