{"id":885467,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/885467/?format=json","text_counter":473,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"hapo awali kuweza kutekeleza wajibu wa kuona ya kwamba maisha ya Mkenya hayatapotea. Vile vile, ninataka kusema ya kwamba, huu ukorofi wa mambo ya Galana Kulalu; tuliua Galana Kulalu ambapo sisi tuliweza kuweka pesa nyingi ndani yake kuona ya kwamba kila Mkenya---."}