{"id":894982,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/894982/?format=json","text_counter":189,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"inapotea. Mmomonyoko wa maadili na mambo mengine kama hayo yana sababisha watu waone kwamba ni rahisi kuchukua maisha yao kuliko kuendelea kuishi maisha yao."}