{"id":894983,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/894983/?format=json","text_counter":190,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bi. Spika wa Muda, nachukua fursa hii kuchangia Hoja ya mbolea ya samadi ambayo ni rahisi kupatikana katika kila sehemu ya nchi. Wengi wetu tuna mifugo kama kuku, mbuzi, ng‟ombe, kondoo, ngamia---"}