{"id":895140,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895140/?format=json","text_counter":347,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Katika Hotuba yake, Rais hakueleza ni biashara gani mbadala ambazo zitafanyika kwa watu wa Kaunti ya Mombasa, baada ya kupoteza biashara yao ya Bandari kwa kupelekwa Naivasha. Alichosema ni kwamba SGR ikifika Naivasha, biashara zote za"}