{"id":904079,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/904079/?format=json","text_counter":132,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"lazima yule anayetakikana kuondolewa apewe arifa sawasawa na makazi mbadala wakati atakapohamishwa. Lakini utapata kwamba mahamisho mengi yanafanyika siku ya Jumapili ama siku ambazo ni siku kuu rasmi za Serikali. Amri za The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."}