{"id":904667,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/904667/?format=json","text_counter":199,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Wakati Kamati itakuwa inashughulikia swala la Sen. Pareno, wadau wa sehemu nyingine ambazo zimeathiriwa, kwa mfano, Mombasa, Makueni, Elgeyo-Marakwet ambako kuna mradi wa Bwawa la Kimwarer na hata hapa Nairobi ambapo kuna ujenzi wa barabara kule Westlands waitwe ili tulitatue swala hili mara moja."}