{"id":90468,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/90468/?format=json","text_counter":102,"type":"speech","speaker_name":"Bi. Leshoomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"alimuuliza Waziri wa Barabara:- (a) kama ana habari ya kwamba barabara ya Rumuruti- Maralal haipitiki kwa sasa; na, (b) hatua ambayo Serikali itachukua ili kuhakikisha kwamba barabara hiyo imewekwa lami."}