{"id":90480,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/90480/?format=json","text_counter":114,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Bett","speaker_title":"","speaker":{"id":157,"legal_name":"Franklin Kipng'etich Bett","slug":"franklin-bett"},"content":"Bw. Naibu Spika, upungufu wa pesa hauturuhusu kutengeneza barabara zote ambazo zimeharibiwa na mvua. Lakini ningependa kuwahakikishia kwamba tunaendelea kukarabati barabara na pesa tunazopewa na Hazina kuu ya Serikali."}