{"id":909334,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/909334/?format=json","text_counter":101,"type":"speech","speaker_name":"Mwatate, ODM","speaker_title":"Hon. Andrew Mwadime","speaker":{"id":2451,"legal_name":"Andrew Mwadime","slug":"andrew-mwadime"},"content":"Hata wenzangu hapa, nawaomba kuwa hoja ikiletwa ya masuala ya malipo ya uzeeni, wajaribu kuisikiza na kuiangalia kwa undani kabisa kwa maana tutakachofanya wakati huu kesho kutwa kitatuhusu sisi pia."}