{"id":910464,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/910464/?format=json","text_counter":85,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"Kamati ambayo itapewa jukumu ya kuangalia haya maneno wanapaswa kuona ya kwamba hoja hii imeshughulikiwa kwa mapana na marefu kwa sababu hata wanyonge wana haki---"}