{"id":911046,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/911046/?format=json","text_counter":667,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Nikimalizia, hii miradi lazima ikamilishwe kwa wakati unaofaa ndio wananchi wafaidike na miradi iliyonuiwa kufanyika."}