{"id":912773,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/912773/?format=json","text_counter":133,"type":"speech","speaker_name":"Bahati, JP","speaker_title":"Hon. Kimani Ngunjiri","speaker":{"id":1179,"legal_name":"Onesmas Kimani Ngunjiri","slug":"onesmas-kimani-ngunjiri"},"content":"Hii ni kwa sababu wakati nilipochukua driving licence, traffic officers wakikusimamisha kwa mkono, lazima ungesimama. Kabla wafike kwa gari, wangekwambia uwashe taa, upige dim, uweke signal na upige wiper . Akimaliza, angeenda nyuma ya gari na kusema ukanyage brakes ili angalie brake lights and parking lights . Tena angekwambia uweke hand brake na atingishe gari. Tunataka kutengeneza sheria mpya lakini zile ziko zikizingatiwa kwa njia nzuri zitareduce"}