{"id":922058,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922058/?format=json","text_counter":70,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Omogeni","speaker_title":"","speaker":{"id":13219,"legal_name":"Erick Okong'o Mogeni","slug":"erick-okongo-mogeni"},"content":"Bw. Spika, nimeskia Seneta mwenzangu kutoka Kaunti ya Narok akisema kwamba yeye anachangia Mswada. Hakuna Mswada, ila tunachangia Taarifa ambayo imeombwa na Sen. Khaniri wa Kaunti ya Vihiga. Kwa hivyo, nataka kumweleza kuwa tunajadili taarifa sio Mswada."}