{"id":922177,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922177/?format=json","text_counter":189,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"“Kuna tofauti kati ya mjinga na mpumbavu. Mjinga ni kukosa kujua lakini ukimfunza, anaweza kupata kuelewa. Lakini, mpumbavu hata ufanye nini,atakuwa mpumbavu leo, kesho na hata kesho kutwa"}