{"id":922400,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922400/?format=json","text_counter":66,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"Bw. Spika, nakubaliana na Sen. Olekina alivyosema kwamba asiyefunzwa na mamake, hufunzwa na ulimwengu; na amesema vizuri. Lakini anatukanganya kwa sababu amesema leo amekuja kuchangia; itakuwa ni vigumu kwetu sisi ambao tumekuja hapa kumfunza, tutakuwa na shida kubwa kumfunza siku ya leo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."}