{"id":922404,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922404/?format=json","text_counter":70,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Olekina","speaker_title":"","speaker":{"id":407,"legal_name":"Ledama Olekina","slug":"ledama-olekina"},"content":"Mhe. Spika, nashukuru sana kwa kunisaidia ili niweze kumaliza. Seneta mwenzetu ameleta taarifa ambayo ametueleza ya kwamba kuna wanafunzi ambao wanadhulumiwa katika shule zetu na kuwafanya watoroke shule. Mheshimiwa Spika, nimeshukuru. Asante."}