{"id":922461,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922461/?format=json","text_counter":127,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Olekina","speaker_title":"","speaker":{"id":407,"legal_name":"Ledama Olekina","slug":"ledama-olekina"},"content":"Mheshimiwa Spika, sijabobea katika lugha ya Kiswahili lakini ningependa dada yangu afafanue kile ambacho anachokiita “mzungumzishi” kwa sababu mimi ninajua kwamba wewe ni Mheshimiwa Spika unapoketi hapo."}