{"id":922489,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922489/?format=json","text_counter":155,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Malalah","speaker_title":"","speaker":{"id":13195,"legal_name":"Cleophas Wakhungu Malalah","slug":"cleophas-wakhungu-malalah-2"},"content":"kinaheshimika na kueleweka, sio Kiswahili cha kuongea maneno ambayo hayaeleweki. Ningependa kuwaonya wenzetu ambao wanatoka Pwani kwamba watumie Kiswahili rahisi ambayo inaeleweka. Asante, Bw. Spika."}