{"id":922525,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/922525/?format=json","text_counter":191,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Zani","speaker_title":"","speaker":{"id":13119,"legal_name":"Agnes Zani","slug":"agnes-zani"},"content":"Asante, Bw. Spika. Nimeongea nikasema kwamba nitazungumza na hawa profesa wawili katika hali ya kutafuta muda zaidi na kuleta suluhisho ili tuhakikishe kwamba neno “mzungumzishi” linaweza kutumiwa kama Bw. Spika."}