{"id":923843,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923843/?format=json","text_counter":232,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Pareno","speaker_title":"","speaker":{"id":13180,"legal_name":"Judith Ramaita Pareno","slug":"judith-ramaita-pareno"},"content":"Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Kabla sijachangia taarifa hii, ningependa kuwakaribisha wanafunzi kutoka shule ya Calvary kutoka Kaunti ya Kajiado. Mmekaribishwa sana katika Seneti yetu; tunawaombea msome vizuri na mfaulu kimaisha. Asante kwa kuchagua kuja kujifunza katika Seneti ya Kenya."}