{"id":923879,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/923879/?format=json","text_counter":268,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":{"id":679,"legal_name":"Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo","slug":"stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"},"content":"Bw. Naibu Spika, hawa hawakupata nafasi hii kwa urahisi. Walifanya bidii wakiwa watoto kama nyinyi katika sehemu za ufugaji. Kwa hivyo, nyinyi mnaweza kuwa kama wao."}