{"id":924676,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/924676/?format=json","text_counter":553,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Kwa hivyo, Mhe. Spika, Kamati ya Seneti Kuhusu Uhasibu na Uwekezaji imewahi kuchunguza ripoti 235 za serikali za kaunti, ripoti 141 za mabunge ya kaunti---"}