{"id":924684,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/924684/?format=json","text_counter":561,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"kufuatiliwa kulingana na sharia ili kuhakikisha kwamba fedha za umma hazifujwi ovyo ovyo. Jambo linguine ni kuwa kuna udhaifu katika rasilimali ya binadamu, yaani human"}