{"id":925508,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/925508/?format=json","text_counter":157,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Omanga","speaker_title":"","speaker":{"id":13175,"legal_name":"Millicent Omanga","slug":"millicent-omanga"},"content":"hao watu wamekubalia hiyo nyama kuwa katika maduka yetu. Je hiyo ni halali? Anasema eti hatuwezi kuwaita wafisadi mpaka wapelekwe kortini."}