{"id":926873,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/926873/?format=json","text_counter":119,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"Namkumbuka Gov. Laboso kwa utendakazi wake. Mwezi wa Julai mwaka jana, tuliungana naye katika kungamano la magavana kule Marekani na niliona kwamba alijitolea mhanga kufa kufanya kazi yake kwa makini na ueledi mwingi."}