{"id":92754,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92754/?format=json","text_counter":117,"type":"speech","speaker_name":"Ms. Leshomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"alimuuliza Waziri wa Uhamiaji na Usajili wa Watu:- (a) ikiwa ana habari kwamba watu wengi wa jamii zilizotengwa nchini (marginalised communities) hawajasajiliwa na kupatiwa vitambulisho vya kitaifa; na (b) ni hatua gani kabambe Serikali inachukua kuhakikisha ya kwamba watu hawa wamefikiwa na huduma hiyo."}