{"id":92767,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92767/?format=json","text_counter":130,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Baya","speaker_title":"","speaker":{"id":10,"legal_name":"Francis S. K. Baya","slug":"francis-baya"},"content":"Bw. Naibu Spika, huo ni mfano ambao nilikuwa nimetoa lakini kama Mbunge anaweza kutoa pesa kutoka kwa mfuko wake pia ingesaidia."}