{"id":92777,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/92777/?format=json","text_counter":140,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Baya","speaker_title":"","speaker":{"id":10,"legal_name":"Francis S. K. Baya","slug":"francis-baya"},"content":"Bw. Naibu Spika, vile alivyosema mhe. Mbunge, hiyo ndio njia tunafuata ya mobile . Kwa hivyo, tunangojea tu. Nyinyi mna wajibu kama Wabunge kutusaidia tupate rasilimali zaidi ili tununue magari na mafuta. Nakubaliana na mhe. Mbunge na tutaenda mobile."}