{"id":929094,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/929094/?format=json","text_counter":87,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika, utapata kwamba wengi wakilala usiku wanaota kuhusu vile vita ambavyo walikuwa wanapigana na mahasimu wao. Hii inawapatia matatizo ya kiafya na ugonjwa wa kiakili---"}