{"id":930027,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/930027/?format=json","text_counter":329,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Omanga","speaker_title":"","speaker":{"id":13175,"legal_name":"Millicent Omanga","slug":"millicent-omanga"},"content":"Asante, Bw. Naibu Spika. Ningependa kuwajulisha kwamba nilisomea Changoi Primary School. Ninawakaribisha wanafunzi kutoka Bomet. Ningependa kuwaambia yote yawezekana. Siku moja wataweza kuwa Seneta, gavana au Rais wa Kenya. Ninawahimiza na kuwatia moyo kwamba, yote yawezekana."}