{"id":932460,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/932460/?format=json","text_counter":142,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":{"id":13202,"legal_name":"John Kinyua Nderitu","slug":"john-kinyua-nderitu-2"},"content":"Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii. Kwanza kabisa, mimi sio Mwanakamati wa Kamati inayoongozwa na Sen. Cherargei. Katika vyombo vya habari, wameangazia na kunionyesha kama mhusika mmoja wa wale ambao---"}