{"id":934468,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/934468/?format=json","text_counter":827,"type":"speech","speaker_name":"Trans Nzoia CWR, JP","speaker_title":"Hon. (Ms.) Janet Nangabo","speaker":{"id":1076,"legal_name":"Janet Nangabo Wanyama","slug":"janet-nangabo-wanyama"},"content":"wananunua mahindi kwa bei ya rejareja na wanawaacha wakulima ambao wanatakikana wapate haki yao bila mafanikio. Inaonekana kwamba wengine kazi yao ni kunyanyasa wengine katika nchi yetu ya Kenya."}