{"id":938615,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/938615/?format=json","text_counter":124,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Cherargei","speaker_title":"","speaker":{"id":13217,"legal_name":"Cherarkey K Samson","slug":"cherarkey-k-samson"},"content":"baada ya mikutano ambayo ilifanyika jana, deni la wanakandarasi limeshuka kwa mwaka huu kutoka Kshs108 bilioni hadi Kshs34.5 bilioni. Ninafikiri, Kamati husika ikiongozwa na Naibu Mwenyekiti ambaye yuko nyuma yangu; Seneta wa Meru, inaweza kushughulikia jambo hilo, kwa sababu inaonekana kwamba Intergovernmental Budget and Economic Council (IBEC) na Baraza la Magavana wanaendelea kushughulikia swala hilo."}