{"id":941575,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941575/?format=json","text_counter":491,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wetangula","speaker_title":"","speaker":{"id":210,"legal_name":"Moses Masika Wetangula","slug":"moses-wetangula"},"content":"Je, ni nidhamu kwa Seneta wa Kilifi kuzungumza na kutumia maneno na sentensi ambayo inaweza kutoa taharuki kwenye fikra za watu, kwa kusema kwamba hataki kuingia katikati ya mama Millicent Omanga?"}