{"id":941972,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941972/?format=json","text_counter":244,"type":"speech","speaker_name":"Kuresoi North, JP","speaker_title":"Mhe. Moses Cheboi","speaker":{"id":329,"legal_name":"Moses Kipkemboi Cheboi","slug":"moses-cheboi"},"content":"Aliniambia la! Tutaitafsiri na kusema ni “Nyumba ya maana au ya kifahari” Hivyo ndivyo nitakavyosema. Kuna mambo kadhaa ambayo yataendelea kuwatatiza Wabunge kuyaelewa kikamilifu. Kwa mfano ukiangalia “ Petition ” kwa kawaida tungesema ni “Ombi” Lakini tafsiri yake si “Ombi”"}