{"id":941974,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/941974/?format=json","text_counter":246,"type":"speech","speaker_name":"Kuresoi North, JP","speaker_title":"Mhe. Moses Cheboi","speaker":{"id":329,"legal_name":"Moses Kipkemboi Cheboi","slug":"moses-cheboi"},"content":"Nataka nimshukuru Mhe. Millie kwa sababu ameniletea maji. Ameona ninajikaza. Kwa hivyo, ni vyema tuipitishe Hoja hii. Nawaomba Wabunge wenzangu kwamba, katika hali ya"}