{"id":942022,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/942022/?format=json","text_counter":294,"type":"speech","speaker_name":"Mbunge Mteule, ODM","speaker_title":"Mhe. (Bi.) Dennitah Ghati","speaker":null,"content":"Ninapoongea hapa, jamii yangu pale Kuria inafurahia kwa sababu wamezoea Kiswahili. Wanapoona kwamba Kiswahili kinaweza kuongewa hapa Bungeni, ni kitu ambacho ni cha busara."}